
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mh.George Mkuchika akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa DICC leo.wengine ni Dk.Anna Kishe Katibu mtendaji (BAKITA) kulia na Kutoka kushoto ni Prof. Hermas Mwansoko pamoja na Suleiman M.Hegga mwenyekiti (BAKITA).
No comments:
Post a Comment