
sasa huyu jamaa katoka zake bar sehemu ambayo angeweza hata kujilaza katika kiti,yeye kaja zake kujilaza katika mtaro na kujiona kama vile yuko nyumbani kwake na tena kalalala katika kitanda kabisa.halafu mtu kama huyu analalamika kuwa maisha ni magumu sana na hela hakuna kabisa,jamani tutafika kweli kwa mwendo kama huu???
No comments:
Post a Comment