hizo ni tairi zilizokwisha tumika na hapo zimefanyiwa marekebisho kidogo tayari kuuza kwa wale wanaohitaji kwa ajili ya magari machakavu na mikokoteni.
Ni ubunidu mzuri na pia nimeshawahi kuona viatu pia au malapa. hata mwenyewe noinayo.
ReplyDelete