HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 19, 2010

Weita Akizingua,Kitu Kinapigwa Jino Tu.........

"aahh huyu weita mizinguo kweli,sasa hiyo opena kaenda kuifuata Mbagala ama???,mimi napiga meno tuu maana naona ananichelewesha tuu."hivyo ndivyo alivyokuwa akisema jamaa yangu huyu aitwae Chaoga mwana wa Mzee Tonge.jamaa kwa laga huyuuuuuuu anashika namba nafikiri.
"sasa ningesema nisubie hiyo opena mpaka muda gani,aahh mie najinyea zangu tartiiiibu"

1 comment:

  1. Yeye anafikiri sifa, kama hajui ugonjwa wa Ini basi yeye anywe tu kama anakunywa maji.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad