HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 19, 2010

Kip Left Yetu Sasa Mambo Mswano Japo Bado Haijazinduliwa Rasmi

daladala kama kawa,huwa wanazungukiaga hata kwa upande wakulia kama wa kushoto umejaa
pameanza na kupendeza sasa,japo bado shughuli haijamalizika fresh
mfuniko nao ushawekwa japo najua tuu kuwa wale jamaa wanaweza usarandia taimu yoyote na kwenda zao kuupima kwenye mzani.lakini sasa naona mambo yako karibuni kumalizika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad