HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 19, 2010

Mkongwe Innocent Nganyagwa

Katika watu ambao huwa nakubaliana nao katika kazi zao,basi sitomuweka kando Mkongwe Innocent Nganyagwa.ninaposema ni Mkongwe nafikiri nitakuwa naeleweka zaidi na wale watu ambao walikuwa sio watoro na wavivu wa mahudhulio pale YMCA,japo mimi kipindi hicho nilikuwa bado niko huko mbwinde nafuta kamasi kwa ngumi lakini historia ya mahala hapo inajieleza.huyu jamaa ni mkali katika anga za Muziki na pia ni Muandishi hodari sana wa makala (unaweza pitia HAPA kuona moja ya makala zake.) yuko mbioni kutoa kitu ambacho kitaushangaza ulimwengu ambacho aliniambia kuwa tuvute subira kidogo na kikikamilika atatushtua.picha hii tulipiga jana jioni tulipokutana alipokuwa anatoka mzigoni kwake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad