
niko na Mdau King Kif ambaye ni mwandishi mwandamiji wa gazeti la Kiu ya Jibu pia ni muendeshaji wa kijiji cha
http://kingkif.blogspot.com tulipokutala jioni hii katika kiota cha Riki Hill hotel mnazi mmoja.

hapa nipo na Mdau Hamis Suba ambaye pia ni mdau mkubwa wa kijiji chetu hiki na pia ni Mhariri mkuu wa Gazeti hilo la Kiu ya Jibu.wadau wote hawa nimeweza kukutana nao jioni ya leo pale katika mgahawa wa Riki Hill Hotel uliopo mnazi mmoja jijini Dar.
No comments:
Post a Comment