mitaa mingi ya Jijini na hasa ile ya katikati Jini,imeshaanza kufanya maandalizi ya sikukuu ya Maulid ambayo inasemekana kuwa itakuwa tarehe 27/02/2010.ambapo Waislam woote Duniani huiadhimisha siku hiyo kama ni siku ya Kuzaliwa kwa Mtume Mohamad S.A.W.siku hiyo huadhimishwa kila mwaka kulingana na tarehe za kiarabu.
No comments:
Post a Comment