
hizo gari hapo sio kama zimegongana au namna gani,hizo ziko katika kushindana nani apite na nani abaki na hapo walipo wapo katika njia ya line dubwana lenye taa moja.sasa sijui itakuwa vipi hapo iwapo lenye njia yake linataka kupita na hapa ndio pako kama hivi?
No comments:
Post a Comment