
Dj Venture akiwa na wadau ndani ya Flava Nite @ Mzalendo Pub

Wadada warembo (shoto) ni Shamsa Ford akiwa na Zamaradi Mketema ndani ya Flava Nite @ Mzalendo Pub.

Dj Venture (shoto) akina na mdau Junior pamoja na Mtangazaji wa Clouds 88.4 Fm,Adam Mchomvu.

aaahhh...... Ventureeeee.......

Mkuu Bon Love (kati mwenye fulanazz nyeupe) akiwa na wadau.

Dj Venture akiwa na Mwanamuziki T.I.D (kulia) pamoja na mdau.

mwanalibeneke King Kif (kulia) akiwa na wadau wakuu wa muziki hapa bongo.
mziki ukikolea hakuna anaetaka kubaki kitini tena,yaani wote ni lazima wazame kati kuonyesha mambo yao.nakwambia kama hujawahi kuingia hapa Mzalendo pub basi utakuwa umepitwa na mengi,hivyo fanya hima walau uweze fika hapa jumamosi moja uone mambo yake.
No comments:
Post a Comment