HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 21, 2010

Mambo Ya Flava Nite Ndani Ya Mzalendo Pub

mshindi wa kata nyonga usiku wa kuamkia leo ni huyu dada aliesimama kati na hapo alikuwa akikabidhiwa zawadi yake.
nyonga inanyongeshwa kisawasawa.
mduariko umekole.
mduara unaraha yake jamaniiiiii.
"ukishikwa mbele nawe shika nyuma,hiyo ndio raha ya mduara"
mduara lazima uwe na mtu kati ndio uone raha yake,hapo ni mwenye kiti chake akionyesha mambo yake.
mmhhh.........hayaaaaa....
hivi ndivyo ilivyokuwa Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo.yaani hadi raha na kama hujafika basi utakuwa umepitwa na vingi hivyo fanya hima usikose jumamosi ijayo ambapo vichwa makini kutoka Mawingu Studio vinawakilisha pande hiyo.ukianzia na Mkali Dj Bon Love,Dj Mackay pamoja na Dj Osca.yaani hakuna kitu kinachoharibika hapo.
haya tena........

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad