Malaika (shoto) na nduguye Denzel wakiwakilisha PamoJah ndani UK.hawa ndio mabalozi wa T-shirt hizi kwa kule kwa BIBI UK.t-shirt hizi zinapatikana hapa hapa Bongo na kwa yeyote anayehitaji basi asisite kuwasiliana nami.
Ndio na mimi nimewakubali
ReplyDelete