
mie na Mtangazaji wa Clouds Tv,Zamaradi Mketema

toka shoto ni Mie,Mdau,Dj Oscar pamoja na mzee wa Commercial AY.

AY,Paul James (kaka Mwarabu),Mie pamoja na FA ndani ya Flava Nite.

"eti kweli wewe ni zoba" niko na Mdau Jay nikizinguana nae.Mdau huyu ndie yule aliecheza kama zoba katika ule wimbo wa Banana Zoro.

Mie Kati,huku kushoto ni Shamsi na kulia ni Zamaradi.

Vichwa makini

Dj Venture,Mdau Bobby toka Sweden ambaye yuko hapa Bongo kwa vekesheni fupi na muda si mrefu atageuza zake huko ughaibuni kuendeleza libemneke na box.

niko na Dj Bon Love ambaye ndie mkuu wa libeneke hili la Flava Nite

toka shoto ni Mdau(jina lake nimelisahau home),Mie,Kaka Mwarabu,AY,Mwana FA pamoja na Dj Oscar ndani ya Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo ambako kulikuwa na Happen la kufa mtu.
No comments:
Post a Comment