HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 28, 2009

jamani mnawaona hawa??

hawa jamaa wako sehemu nyingi zana hapa jijini na sifa zao nafikiri kila mkazi wa jiji atakuwa anazijua,hapo kwa madai yao wako katika kula tizi lakini hapo nakwambia ukitoa simu yako kwa namna yeyote basi imekwenda maana hawa jamaa wanadandia kila gari na wanakwenda kila mahali,hivyo nawatahadhalisheni kuweni makini na hawa jamaa maana naona wahusika wa usalama barabarani hawalioni hili la hawa jamaa maana naona wanawaangaliaga tu wanavyodandia magari bila hata kujali usalama wao.

1 comment:

Post Bottom Ad