hapa ni mtaa wa Arusha,leo asubuhi.kwa kweli Ilala inasifika sana kwa jinsi mitaa yake ilivyojipanga vyema,maana hata ukielekezwa tu unafika sehemu husika bila hata kuuliza mahali,kama nilivyoelekezwa mie.hongereni sana wana Ilala
No comments:
Post a Comment