HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 28, 2009

coco beach jumapili ya leo

mtu nyomi kila ifikapo j,pili hapa coco
bustani ya ufukweni nayo yazidi pendezesha fukwe yetu ya coco bichi
kabachori,urojo,bagia na vitu vingine kibao huwaga havikososi hapa coco
kila mtu yuko huru kwa kujiachia atakavyo coco bichi
ndondi nazo kama kawa,hapo sio za uongo uongo ni ukweli ukweliii
hata kina Van Damme pia wamo huku coco bichi sarakasi ndio usiseme maana kila anaepatwa na mzuka wa kuruka huwa anajichanhanya tu,yaani hadi raha ukija hapa coco bichi.yaani kila siku za wikiendi hapa ni kama sikukuu vile,hadi raha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad