
kumekuwepo na malalamiko makubwa sana juu ya haya magari ya taka jinsi yanavyokuwa yanapaki wakati wa kuchukua taka katika maeneo husika,na tatizo kubwa ni kwamba huwaga wanakaa katikati ya njia na kuyafanya magari mengine yashindwe kuendelea kupita kama picha hii inavyoonyesha katika mtaa wa Kaluta.sasa sijui ni nini kifanyike ili kuweza kutokomeza kabisa tatizo hili?
No comments:
Post a Comment