
zana za kazi zikiwa zimepaki nje kidogo ya mji kasoro bahari,kama unaelekea Iringa.

wamachinga waliopo mji kasoro bahari wakikimbilia basi tulilopanda tayari kwa kuendeleza libeneke la biashara zao

stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani ya mji kasoro bahari a.k.a Morogoro,inavyoonekana kutokea eneo la kuingilia katika stendi hiyo.
No comments:
Post a Comment