hivi ndivyo inavyokuwaga maeneo ya huku kwetu wakati wa kipindi hiki cha mvua,maana kina nyumba uionayo ni lazima kwa nje iwe namna hii.hali hii ni kutokana na yale mambo ya kuflashi zile ofisi zetu muhimu katika majumba mengi.
No comments:
Post a Comment