
meneja wa
hotspot internet cafe iliyopo ndani ya jengo la JM Mall,Ndugu Kenny akimsikiliza mteja wake kwa umakini mkubwa

mteja wa hotspot akianza kuperuzi mambo yake mtandaoni

hii ni mandhari ya kisasa kabisa ndani ya
hotspot internet cafe
sehemu ya stationary inavyoonekana ndani ya
hotspot internet cafe iliyomo ndani ya jengo la JM Mall ambalo kwa sasa linafahamika kama Harbourview Tower lililopo katika mtaa wa Samora av/Morogoro rd,ubavuni mwa jengo la P.P.F House

uweza watembelea pia katika mtandao wao unaokwenda kwa jina la
www.hotspot-tz.net ,au kwa kuwatwangia kupitia namba hizi
0773 633 736
No comments:
Post a Comment