HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 20, 2009

magari haya makubwa ni mazuri lakini .........

kwakweli haya magari makubwa ya kupakia abiria hapa mjini ni mazuri,lakini kutokana na njia zetu kuwa ndogo na kusababisha magari mengine kupishana kwa shida pindi gari la namna hii lisimamapo katikati ya barabara,tatizo hilo linakuwa ni kero kubwa sana kwa magari mengine hasa yale ambayo madogo kama ionekanavyo katika picha hii niliyoipiga katika barabara ya mwananyamala.wahusika mnaliona hilo lakini??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad