.jpg)
huo sio mtaro wa kupita maji machafu,bali ni njia ya kupita watu kama zilivyo njia nyingine,lakini chaajabu ni kwamba wahusika na wakazi wa mtaa huu hawalioni hili tatizo ambalo linasababisha watu wapitao kwa miguu kupita kwa shida sana kama aonekanavyo huyo jamaa hapo pembeni.picha hii nilipiga jijini Mbeya hivi karibuni ambako nilikuwepo siku kadhaa zilizopita.
No comments:
Post a Comment