dogo huyu nilimfuma pale maeneo ya moroco akipanga hela za sarafu tayari kwa kuwauzia makondakta wa madaladala yanayokatiza katika kituo hicho,sasa sijui haki za watoto zinapatikanaje kwa dogo huyu?
No comments:
Post a Comment