HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 20, 2009

madereva wa daladala na mbwembwe zao

madereva wa daladala wa kibongo kwa mbwembwe hawawezekani,maana wanauwezo wa kuendesha magari hadi ndani ya mitaro ya kupitia maji kwa jinsi walivyokuwa wanambwembwe katika kazi zao.
wananchi kama kawaida yao,wao siku zote huwaga yao macho hutazama kila kinachoendelea katika maeneo yao yanayowazunguka.hii imetokea katika maeneo ya kijitonyamba nyuma kituo cha mabasi (daladala) cha makumbusho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad