HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 30, 2009

hatimae taa za kinondoni zimewekwa

kumekuwa na tatizo kubwa sana katika makutano ya barabara ya kinondoni na ally hassani mwinyi rodi kwa takribani wiki kadhaa sasa,lakini nilipotita jana nimekuta kuna mafundi wanamalizia kuweka taa hizo na kuendeleza libeneke kama ilivyokuwa hapo awali.nafikili ujumbe uliwafikia wahusika na wakaamua kuufanyia kazi.

2 comments:

  1. Othmani,
    Hakuna tatizo ndugu kurudi kwenye libeneke hili la zamani la blogspot, sasahivi imekua bomba sana kuliko kule kwenye wordpress.

    Tupo pamoja ndugu.Mungu akupe nguvu ya kuendeleza libeneke hili.

    MAKULILO Jr,
    www.makulilo.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. nashukuru sana mkuu Makulilo jr kwa ushauri wako na pia kwa mkuu MK kwani yeye ndie alieniwezesha zaidi kurudi huku kwa nguvu zote mara baada ya kunifanyia marekebisho katika mtaa huu.nashukuru sana kwa kunitembelea mkuu Makulilo Jr.

    pamoja libenekeni mkuu.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad