WAPENDWA WANA MTAA KWA MTAA,NAOMBENI RADHI SANA KWA KUTOWEZA KUFANYA LOLOTE KATIKA KIJIJI CHETU HIKI KWANI KWA SASA NIPO NJE YA JIJI LA DAR KWA DHARULA.HIVYO HALI HIYO DIO INANIFANYA NISHINDWE KABISA KUWAFIKISHIA CHOCHOTE HAPA MTANDAONI KWANI HAPA NILIPO MTANDAO NI ZIRO POINT SIFURI,HIVYO NAOMBENI RADHI SANA TENA SANA KWA HADHA HII MPATAYO WADAU WANGU WAPENDWA.
-JR
No comments:
Post a Comment