HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 25, 2009

Rais Kikwete Pamoja Na Mkuu General Mwamunyange,Watunukiwa Nishani Visiwani Comorro

jk-comoroRais Ahmed Abdallah Mohamed Sambi wa Muungano wa Visiwa vya komoro,akimtukuku Rais Jakaya Kikwete medali ya ushujaa na heshima ya Taifa la Komoro kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.Rais Kikwete yupo nchini Komoro kwa mwaliko wa Rais Sambi kuadhimisha mwaka mmoja tangu majeshi ya umoja wa Afrika yakiongozwa na nchi ya Tanzania yalipokikomboa kisiwa cha Anjouan
jkRais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais Ahmed Abdallah Sambi mara baada ya kumtunuku heshima ya juu ya taifa hilo kwa kuvika medali kwa kutambua mchango wake katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.Sherehe hizi zilifanyika Missiri Stadium kisiwani Anjouan
cg-comorro Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akivikwa medali ya kishujaa katika kutambua mchango wa majeshi ya Tanzania katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan.picha na Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad