Huu ni moja kati ya mitaa mingi iliyopo kariakoo ukiwa hoi kwa uchafu uliokithiri kutokana na kuchafuliwa na wafanya biashara ndogondogo. halafu hapohapo kuna watu wanaolipwa kwa kufanya usafi katika mitaa hii,sasa sijui wahusika wanalichukuliaje hili?
Wednesday, March 25, 2009

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment