HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 23, 2009

Maafisa Wa Polisi Nchini Wapewa Darasa Juu Ya Udhibiti Na Usimamizi Fedha

polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, (IGP) Said Mwema , akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya awamu ya pili juu ya   usimamizi na udhibitii wa fedha na mali za Serikali kwa Jeshi la Polisi nchini kwa Maofisa Wanadhimu wa Mikoa, Wahasibu wa Mikoa, Maofisa Mipango wa Mikoa na Vikosi vyote vya Tanzaniapolisibaaadhi ya Maofisa na Wanadhimu wa Mikoa, Wahasibu wa Mikoa, Maofisa Mipango wa Mikoa na Vikosi vyote vya Tanzania vya Jeshi la Polisi ambao ni washiriki wa mafunzo ya awamu ya pili ya usimamizi na udhibitii wa fedha na mali za Serikali kwa Jeshi la Polisi wakiandika dondoo huku wengi wakimsiliza IGP  Said Mwema ( hayupo pichani) wakati wa kufungua mafunzo hayo ya siku tano. Picha ni kwa msaada wa Issa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad