HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 23, 2009

Mv.Magogoni Mwendo Mdundo

mickivuko cha kisasa cha Mv. Magogoni kikiwa kimekula nyomi la uhakika kabisa,kikiwa kimetokea ferri kuelekea kigamboni.kiukweli hiki chombo kiko poa sana maana kinabeba watu wengi magari,pikipiki nyingi baiskeli ndio usiseme kabisa maana kinasanya karibu kila kitu,kwa hili nawapa heko sana Serikali ya nchi yangu kwa kazi nzuri walioifanya ya kutuletea kivuko kizuri na cha kisasa na nawaombea kila la kheri ili waongeze na kingine kama hiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad