Mdau Chibiriti,Mie na kaka Sankofa.hapa ilikuwa ni katika kumuaga Mdau Chibiriti anaetarajia kufunga mkanda na kurejea kule nchini Italy anakoendeleza libeneke la maisha yake hapo siku ya jumatano.mimi pamoja na wadau wengine tunamtakia kila la kheri katika safari yake ili aweze fika salama huko aendako mdau mwenzetu huyu.
KWAKWELI NASHUKURU SANA, KWA KUNIPOKEA VIZURI NA KUNIAGA VIZURI SANA, NAWASHUKURU SANA TENA SANAAAA......!!!!!!!
ReplyDeletenami nashukuru sana Mkuu Chibi,kwani moja ya sifa na tamaduni zetu waAfrika ni ukarimu,hivyo hata sisi tunakushukuru sana kwa kuja kwako Bongo na kuwa pamoja na sisi.tunakushukuru sana.
ReplyDeletepamoja libenekeni,
-Jnr 2