haya magogo yanayoonekana katikati ya barabara hii yamewwekwa kwa ajili ya wale madereva wanaofanyaga njia hii kama hai wei,maana huwaga wanakatiza katika njia hii kwa spidi kubwa sanaaa.sasa hapa ndio tumeamua kuwakomoa kabisa.
No comments:
Post a Comment