HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 1, 2008

Ramadhan Mubaaraq!!

NAWATAKIA WAISLAM WENZANGU WOOOTE NA PIA HATA WASIO WAISLAM POPOTE PALE WALIPO NDANI YA DUNIA HII,KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN ULIOPO MBELE YETU,KWA KUUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MWEZI HUO NA TUWEZE KUFANYA YALE MEMA YOTE YALIOAMRISHWA NA ALLAH SUBHANAH WATAALA NA KUACHA YALE YOTE YALIYOKATAZWA NA YEYE MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI KWA KUWA HUU NI MWEZI TOOUBA.NA MWENYEZI MUNGU ATASAMEHE MAKOSA YETU INSHAALLAH.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad