HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 4, 2008

Warembo Kuosha Magari Viwanja Vya Lidazz Kesho

JE UNATAKA KUOSHEWA GARI LAKO NA WAREMBO?!! KAMA NDIO NA UNA NIA YA KUCHANGIA WANAWAKE WANAOSUMBULIWA NA UGONJWA WA SICKLE CELL, FIKA LEADERS CLUB SIKU YA JUMAMOSI YA TAR 5 MWEZI HUU. NA GARI YAKO ITAOSHWA KWA 20,000 TU NA UKITAKA KUJA KUONA ZOEZI HILO UTACHANGIA 10,000 NA MISOSI NA BURUDANI NYENGINE ZITAKUWEPO!!NAWE MSICHANA MWENYE NIA YA KUJITOLEA KUUNGANA NA WAREMBO HAO UNAKARIBISHWA KWA KUWAONA WAANDAJI AMBAO NI VISION FOR TANZANIA AMBAO NI JENIFFER JOHN NA NARGIS MOHAMED.

2 comments:

  1. I agree with you about these. Well someday Ill create a blog to compete you! lolz.

    ReplyDelete
  2. To the author of this blog,I appreciate your effort in this topic.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad