HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 4, 2008

Sijui Nipaiteje??

Mdau Adelard wa kijiji cha jamii Fotobaraza,ameshindwa kupata ufafanuzi wa hayo maandishi yaliyoandikwa hapo kwenye huo ukuta ambayo hata mimi nimeshindwa kumfafanulia kuwa kipi ni kipi hadi hivi sasa.sijui kuna anaeweza kutupatia ufafanuzi juu ya hili?

1 comment:

  1. Mie naoana tu watu wamekaa hapo, sioni dalili ya shule wala nini. Ni kama kituo cha bus... Haha haa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad