Serikali ya Zambia imepinga vikali juu ya uvumi ulioenea kila mahala kuhusiana na kifo cha Rais wa Nchi hiyo Mh.Levy Mwanawasa.ili kufahamu zaidi undani huo waweza tembelea hapa
Yelekea jamaa yuko hali mbaya hadi kupelekwa Paris Military Hospital (France). Hiyo hospital ndio aliyopelekwa Yasser Arafat alipopata stroke na mauti kumkuta.

ReplyDelete