
Wadau Magere na RT wanayo furaha kubwa katika wiki hii kwa kuadhimisha siku zao za kuzaliwa,mdau Magere yeye leo ndio siku yake rasmi ya kusherehekea siku kuu hii kwani alizaliwa 05.julai miaka hiyo iliyopita.na mdau RT (chini) yeye leo anaangusha bonge la pati pale maeneo ya Swiss Pub Tabata, kwa kuwa alikosa muda siku yake ya kuzaliwa ilipofika,yeye nae alizaliwa 03.julai miaka kadhaa iliyopita.nami kwa niaba ya wadau wengine nawapongeza na kuwaombe kwa mungu ili nanyi mfikie walau umri kama wangu au kama wa Mzee Madiba wa kule bondeni.
HEPI BESDEI NJEMA
No comments:
Post a Comment