Mwezi ujao kati ya tarehe 1 na 10, kijiji kitakuwa kinatimiza miezi minne.chini ya udhamini wa jarida la Bang!, kitaendesha shindano dogo hapahapa kijijini ikiwa ni kuwashukuru wanakijiji kwa kuwa pamoja na kijiji na kukipatia mafanikio makubwa.Shindano litaanza leo saa moja za usiku (saa za Afrika Mashariki) na litamalizika tarehe 05/08/2008, saa tano na dakika hamsini na tisa (saa za Afrika Mashariki). Tafadhali pita muda huo tuzindue shindano pamoja. Zawadi ni nakala mojamoja kwa wadau watano watakaoshinda.
Asante.
Babukadja Sankofa
Babukadja Sankofa
Mwanzilishi wa FotoBaraza
tembelea FotoBaraza kwa kugonga hapa.

No comments:
Post a Comment