HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 25, 2008

Yanga Nayo Mdebwedo

MECHI KATI YA TIMU YA YANGA NA TUSKER YA KENYA IMEMALIZIKA DAKIKA KUMI NA TANO ZILIZOPITA,HUKU VIJANA WA MTAA WA JANGWANI WAKITOKA VICHWA CHINI BAADA YA KUKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA VIJANA WA MZEE KIBAKI NDANI YA UWANJA WA TAIFA.KWA HIYO SASA NDIO ITAKUWA VUTA NIKUVUTE KATIKA KUTAFUTA NAFASI YA MSHINDI WATATU AMBAPO TIMU YA YANGA INAKUTANA NA WATANI ZAO WA JADI KUTOKA KATIKA MTAA WA MSIMBAZI SIMBA S.C,HUKU FAINALI IKIACHIWA NA WAGENI TUSKER YA KENYA NA U.R.A YA KULE NCHINI UGANDA.AMBAPO MECHI ZOTE ZITACHEZWA SIKU YA JUMAPILI.SASA HIVI NYANDA JUMA KASEJA ATAKUWA KATIKA LANGO LA YANGA.KAZI KWENU MASHABIKI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad