
Waziri mkuu mstaafu mh.Fredrik Sumaye leo asubuhi amekitembelea kituo cha redio ya Clouds Fm 88.4,aidha Sumaye alionesha kuvutiwa sana na utendaji kazi wa kituo hicho na pia hakusita kuuliza maswali kadhaa kwa ufahamu zaidi.Pichani shoto ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group Bw.Joseph Kusaga na kulia ni programu meneja wa kituo hicho Sebastian Maganga.picha na
Jr 1
No comments:
Post a Comment