siku usafiri unapokuwa mgumu,inakubidi ukubaliane na yote kama hivi.hapo ni mia tano kila kichwa mpaka mjini.sasa sijui itakuwaje pindi na watakapo simamisha usafiri wa vipanya(hiace)!?
No comments:
Post a Comment