HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 19, 2008

Huu Ndio Ustaarabu Wa Wapi?

hata sijui ni kwanini huyu jamaa alichokuwa anakifikiria kichwani mwake mpaka akaamua kusimama mahala hapa ambapo sisi wengine tunakaa,hivi huu ni ustaarabu kweli jamani?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad