HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 19, 2008

Yaliyomsibu Kipanya Clouds 88.4 Fm

Hakuna ubishi kwamba kipindi cha PowerBreakfast kinachorushwa na radio ya Clouds FM ni mojawapo ya vipindi vya radio vyenye wapenzi na wasikilizaji wengi nchini Tanzania.
Hivyo basi haishangazi kwamba hivi karibuni watangazaji wawili wa kipindi hicho waliokuwa wamezoeleka,Masoud Kipanya (KP) na Fina Mango, walipopotea hewani maswali mengi yaliibuka.Wako wapi KP na Fina?Maoni na e-mails zikarushwa kwetu tukiombwa kuwatafuta na kujua nini kimetokea na kama wapo likizo tu au inakuwaje?kwa undani zaidi juu ya yaliyowa wasibu watangazaji hawa wakipindi maarufu cha PowerBreakfast zama katika wanja la Bongocelebrity uujue ukweli.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad