
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akiwa na wafanyakazi wa Celtel, Prisca Tembo (kulia) na Cuthbert Raphael (kushoto), muda mfupi kabla ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Mzee Mwinyi alionyesha bado yuko fiti baada ya kuupanda mlima huo kwa umbali wa mita 3000 na kuishia hapo.ni watu wachache sana ambao wanafika kama hapo alipofikia Mzee wetu huyu.nampa bonge la big apu sana Mzee Mwinyi.
This is a nice blog. I like it!
ReplyDelete