
Mdau wa kijiji cha jamii cha
fotobaraza,mkuu
Ernest alipiga picha hii alipotembelea huko Igurusi,mkoani Mbeya inayoowaonyesha vijana waliokuwa wakisukuma gari hii ili liwake na kuendelea na shughuli zao za kila siku,hii inaonyesha kuwa hakuna kinachotupwa hapa bongo.
No comments:
Post a Comment