HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 18, 2008

Mzee Mwinyi Bado Yuko Fiti,Apanda Mlima Kilimanjaro Na Kuishia mt 3000

Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi (katikati) akiwa na wafanyakazi wa Celtel, Prisca Tembo (kulia) na Cuthbert Raphael (kushoto), muda mfupi kabla ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Mzee Mwinyi alionyesha bado yuko fiti baada ya kuupanda mlima huo kwa umbali wa mita 3000 na kuishia hapo.ni watu wachache sana ambao wanafika kama hapo alipofikia Mzee wetu huyu.nampa bonge la big apu sana Mzee Mwinyi.

1 comment:

Post Bottom Ad