HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 18, 2025

Bashiri Na Shinda Michezo Ya Leo Ukitumia Meridianbet

 


MASHABIKI wa soka, leo ni siku ya burudani kubwa kutoka viwanja vya Uingereza. Meridianbet inakuletea odds kali zaidi na machaguo ya kipekee kwa kila pambano, kuhakikisha kuwa kila mchezaji anapata nafasi ya kubashiri na kushinda. Usikose fursa hii ya kipekee ya kujiingiza kwenye ulimwengu wa ubashiri wa EPL.

Mchezo wa kwanza wa siku ni Nottingham Forest dhidi ya Chelsea. Wenyeji wa darajani wanaingia uwanjani wakiwa wanahitaji alama tatu ili warudi tena kwenye timu nne za juu za msimamo wa ligi. Odds za Meridianbet ziko moto, chagua upande wako sasa na uwe sehemu ya ushindi huu.

Brighton dhidi ya Newcastle ni pambano jingine linalotarajiwa kuvutia mashabiki wote. Brighton, wakiwa nyumbani, wanatazamiwa kurejesha ubora wao baada ya kutokupata ushindi mfululizo na kuambulia ushindi mmoja pekee msimu huu kwenye uwanja wa nyumbani. Odds za Meridianbet kwa mchezo huu ni nzuri sana, usikubali zikupite bila kuchukua hatua.

Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa Burnley anakaribisha Leeds United pale Turf Moor. Burnley anaingia mchezoni akiwa na rekodi duni ya ushindi, huku Leeds wakiwa nafasi ya 15 katika msimamo wa ligi. Meridianbet imehakikisha kwamba ubashiri wako unakuwa rahisi na wenye faida kupitia machaguo bora zaidi ya mchezo huu. Bashiri sasa.

Crystal Palace dhidi ya Bournemouth ni mechi ya mvutano mkali. Bournemouth wapo nafasi ya nne na alama 14, huku Crystal Palace wakiwa nafasi ya sita na alama 12. Utofauti wa alama mbili unahakikisha pambano hili litakuwa na ushindani mkali. Odds za Meridianbet zimerudiwa kuwa moto kwa ajili ya bashiri wote.

Mchezo mkubwa wa siku ni Manchester City dhidi ya Everton dimbani Etihad Stadium. Tangu 2021, Everton hawajawahi kushinda dhidi ya City ugenini, lakini je, leo wataweza kuvunja rekodi hiyo? Meridianbet inakupa nafasi ya kuchagua upande wako mapema na kuingia kwenye ushindi.


Siku ya leo inafungwa kwa pambano la Arsenal dhidi ya Fulham, ambapo Mikel Arteta anatakiwa kuhakikisha timu yake inabaki kileleni mwa ligi. Arsenal wameshinda michezo mitano, sare moja na kufungwa mara moja msimu huu. Kwa watumiaji wa Meridianbet, hili ni fursa ya dhahabu ya kushinda kwa kubashiri mapema.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad