HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 1, 2025

Zombie Apocalypse Na Promosheni Kubwa kwa Wapenzi wa Kasino

 



KASINO ni burudani, lakini Meridianbet imeamua kugeuza burudani hiyo kuwa sherehe ya kipekee. Ikiwa unatafuta furaha, basi Happy Hour Zombie Apocalypse Free Spins ni tiketi yako ya kuingia kwenye ulimwengu wa michezo ya kasino kwa ucheshi na zawadi.

Kila Jumanne na Alhamisi, watumiaji wa Meridianbet wanapewa nafasi ya kushinda mizunguko ya bure kwenye mchezo maarufu wa Zombie Apocalypse kutoka Expanse Studios. Hii siyo ofa ya kawaida, ni fursa ya kuongeza kiwango cha ushindi wako huku ukipata msisimko wa kipekee wa kasino mtandaoni.

Ni rahisi kushiriki. Wachezaji wote waliojisajili na Meridianbet, kupitia aidha tovuti ama app, wana nafasi ya kushiriki huku wachezaji wapya wanaojiunga pia wakipata nafasi mara moja baada ya kujisajili. Ili kuingia kwenye promosheni, unahitaji kuweka angalau 10,000 TSH kwenye akaunti yako na fedha hiyo lazima ichezwe angalau mara tano kwenye michezo ya kasino.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Mizunguko yako ya bure inategemea kiwango cha pesa unachoweka. Ukiweka kati ya 10,000 hadi 39,999 TSH unapata mizunguko 10 bure, ukiweka 40,000 hadi 99,999 TSH unapata mizunguko ya bure 20, kwa 100,000 hadi 199,999 TSH unapata mizunguko 30, na ukiweka 200,000 TSH na zaidi basi unapata mizunguko yako 50 bure kabisa. Ofa ya mizunguko ya bure hutolewa siku hiyo hiyo na utajulishwa kupitia sehemu ya ujumbe kwenye akaunti yako.

Masharti ya promosheni hii ni ya wazi na rahisi. Kwanza, akaunti moja tu inaruhusiwa kwa mchezaji mmoja. Pili, zawadi hutolewa kulingana na kiwango cha pesa ulichoweka kwenye kipindi husika cha promosheni. Pia, Meridianbet ina haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni endapo itahitajika, hasa kama kutakuwa na viashiria vya udanganyifu au changamoto za kiufundi.

Kwa wapenzi wa michezo ya kasino, hii ni nafasi ya kufurahia michezo ya kipekee huku ukipata ushindi wa bure. Zombie Apocalypse haileti tu burudani ya kipekee bali pia msisimko wa ushindi unaoletwa kwa kila spin. Happy Hour ya Zombie Apocalypse ndiyo fursa ya kubadilisha mchezo kuwa ushindi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad