HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 6, 2025

ULEGA KUZINDUA RASMI KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI MKUU 2025 MWANDEGE WILAYA YA MKURANGA LEO.


Mgiombea Ubunge wa viti maalum mkoa wa Pwani. Bi. Mariam Abdallah Ibrahim .

Ameungana na wanawake wa wialaya ya Mkungara kufagia uwanja leo kwajili ya 
kujiandaa na Uzindua wa Kampeni ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025 Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Katika Viwanja vya vya Mwandege mkoa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,leo tarehe 06 septemba 2025.







Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa kwenye Tukio Maalum la kufagia uwanja kwa ajili ya kujiandaa na Uzindua wa Kampeni ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2025 Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Katika Viwanja vya vya Mwandege mkoa Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani,leo tarehe 06 septemba 2025.





 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad