Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Geita,NDARO SAMSONI amepokea fomu hizo katika ofisi za tume hizo zilizopo eneo la Magogo Halmashauri ya Manispaa ya Geita.
“Kwa mujibu wa taratibu wa fomu zile nne ambazo zimewasilishwa mgombea anapaswa kupewa fomu moja kwa sababu hatujafika saa 10 jioni,fomu nne tunabaki nazo na wakati tunabandika kwenye ubao wa matangazo tutampatia ile nakala yake moja na sisi tutabakia nakala tatu.”amesema Ndaro
Leo saa 10 jioni ndiyo mwisho wa kupokea fomu za uteuzi katika ofisi zote za wasimamizi wa uchaguzi nchi nzima.
Mungu akubariki huna baya na mtu
ReplyDeleteMungu akubariki huna baya na mtu
ReplyDelete